HABARI KUBWA

Mwandishi :

Maelezo

kitabu hiki cha Habari Kubwa – kiko tofauti na vitabu vingine vya miujiza ya Qurani – kwani kinajipambanua kwa mambo mengi, miongoni mwayo ni a)- Ufafanuzi mzuri, ibara nyepesi, na dibaji mzuri) b- Kitabu kipo katika umbo la kati na kati, hivyo msomaji hachoshwi wala hatakiona kuwa ni kirefu sana. c- Kinazungumza hasa na kizazi hiki. Kizazi ambacho kipo mbali mno na wema waliotangulia na wanazuoni waliopita. Mwandishi – Allah amrehemu – amedhihirisha maarifa ya kina kwa kutumia Qurani. Na uwezo mzuri sana wa kubainisha Miujiza kwa kutumia ibara nyepesi na kwa njia fupi.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: