HII NDIYO ITIKADI YETU
Mwandishi : Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al-Uthaymeen
Tafsiri: Yasini Twaha Hassani
Kurejea: Yunus Kanuni Ngenda
Maelezo
Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.
- 1
PDF 718.8 KB 2019-05-02