-
Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa "Idadi ya Vipengele : 4024"
Maelezo :Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa, Nimkusanyiko wa tv za kislam, zinazo rusha matangazo yake kwa lugha tofauti za Africa, ujumbe wa chanel hizo :
-Nikuleta Taadhira nzuri katika jamii.
-Nikuyatambulisha uzuri wa uislam na sheo chake.
- Kuhifadhi tabiya njema za uislam.
Yote hayo nikupitiya vipindi vinavyo onyeshwa ambavyo nimuhimu katika maisha, na vinakidhi mahitaji tofauti ya kibinadamu.
-nikuitika mahitaji ya mtazamaji.