• Chama cha aal-na alashab "Idadi ya Vipengele : 17"

  Maelezo :Chama cha aal-na alashab
  Kuanzishwa kwake:ilianzishwa jumuiya ya aal-na alashab katika nchi ya ufalme wa Bahrain Uamuzi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii No(32) mwa 2006 M.
  Muono wetu:Kuwapenda watu wa familia ya mtume na maswahaba zake nikatika kumpenda Mtume (Alayhi swalatu wassalam).
  Ujumbe wetu:Tunafanya jitihada za kusahihisha ufahamu potovu yanayo husiana na mafungamano ya familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu.
  Malengo yetu:Nikusambaza urithi wa familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu,kwa yale yanayo endana na cheochao cha juu kwa waislamu.
  Kuonyesha Mahusiano ya undugu baina ya familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu,nakupandikiza apenzi ya kuipenda familiya ya mtume na maswahaba zake katika nafsi za waislam.
  Kudhihirisha majukumu ya familia ya mtume na maswahaba zake katika kuutumikia uislam,kutokana na kushikamana kwao na Quraan tukufu,na Sunna za mtume (swala Allahu alayhi wasalama)
  Kukuza mshikamano wa taifa kwa njia imani potofu zilizo wazi katika mawazo ya baadhi ya Waislamu kwasababu ya familia ya mtume na maswahaba zake watukufu.
  Katika Matoleo ya Jumuiya:Kuwalinda familia ya mtume na maswahaba zake watukufu.
  Ushindi wa Allah mwenye sifa ya kutoa bure katika kuzungumzia ubora wa familia ya mtume na maswahaba zake watukufu.-

Maoni yako muhimu kwetu