-
Wizara ya mambo ya kiislam na waqfu na ulinganiaji na kutoa mwongozo "Idadi ya Vipengele : 328"
Maelezo :Malengo ya wizara na siasa zake: 1-Kukitumikia kitabu cha Mwenyezi Mungu, kukisoma, kukihifadhi, kukifaham na kukisambaza. 2-Kuwalingania watu katika uislam na kuwaongoza katika kheri na kuilinda heshima maadili ya uislam. 3-Kusaidia nchi zenye waislam na walinganiaji wachache na taasisi za kiislam duniani. nk.