Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 2

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 2

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Nafasi ya bi Khadija (r.a) katika Uislamu na umuhimu kwa wanawake wa kiislamu kumuiga bi Khadija (r.a), pia imezungumzia ucha Mungu na uadilifu aliokuanao bi Khadija, na athari aliyoacha baada kufa.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi