عرض المواد باللغة الأصلية

أعلام وشخصيات

عدد العناصر: 153

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 184

    Imamu na khatwibu wa Msikiti mtakatifu

  • سواحيلي

    مترجم, عدد العناصر : 1

    Seif Abubakar Ruga

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, عدد العناصر : 75

    Shekh Shahidi Muhammad Zaid: Amehitim masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji katika mji wa Mwanza Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 15

    Shekh Shamsi Ilmi: Ni mlinganiaji kupitia chaneli ya Tv Afrika na Redio Qiblatein Iringa, pia ni Katibu katika taasisi ya Dhinurayni nchini Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 31

    Sharifu Abdul Adhwiim amezaliwa Kairo mwaka 1964. Alihitimu kutoka Kitivo cha Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Cairo, Idara ya Mawasiliano mwaka 1986.Alipata shahada ya udaktari(PHD) kutoka Canada mwaka 1997. na Nimwalim Msaidizi,Kitivo cha Uhandisi Idara ya Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Cairo, na amechukuliwa kwamuda na Chuo Kikuu cha Marekani,nimuasisi na niraisi wa Bodi ya Ujumbe Association kwa Uhisani.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Misri

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1985

    Ni Abuu Abdillah Muhammad Ibn Swaleh bin Swaleh bin Sulaiman bin Abdul Rahman bin Othman bin Abdullah bin Abdulrahman bin Ahmed bin Muqbil katika Ali Muqbil katika Al Raes Al Wahbiy AlTamimi, na Babu yake wa nne Othman ndie alie itwa Uthaymeen, akajulikana kwa jina hilo, nae nikatika kizazi cha Wahb katika ukoo wa Tamiim , kutoka katika sehemu inaitwa Alwashmu mpaka Unayzah.

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 27

    Sheikh Abubakar Shatwiry kazaliwa mwaka 1970 م, na ameishi ktk mji wa Jidda, pia ni Imamu ktk Muskiti wa Furqan mtaa wa Nasim Jidda. kisha owa, ana watoto (4), anaitwa Baba Abdurrahman. Masomo yake: Anacho kibali cha Qur-ani Tukufu kwa upokezi wa Hafswa kutoka kwa A'swim kapokea kibali hicho kutoka kwa Sheikh Aiman Rushdi Suwaidi mwaka 1416 هـ Anayo digri ya pili ya Mahesabu ameipata mwaka 1420 هـ.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shekh Ahmad Khalil Shahin

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shirzad Bin Abdul Rahman Bin Twaher Bin Hasan: Amezaliwa mwaka 1968 kaskazini mwa Iraq, amesoma kwa Mashekh mbalimbali wa Iraq miongoni mwao ni Shekh Abdullatwif Bin Khalil Aswufy, na Shekh Alhafidh Ally Bin Hasan Alwaswaby, na Shekh Alhafidh Almuqry Abdul Razaq Muhammad Umaarah, na alikua Imamu katika Misikiti mingi katika Nchi ya Iraq, Yemen na Imarat.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 27

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 2

    Swaleh Al-Zahran amemaliza masomo katika chuo cha Imamu muhamad bi saud University na ana juhudi za Daawa africa mashariki.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 10

  • سواحيلي

    مترجم, مؤلف, عدد العناصر : 2

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Morocco.

  • سواحيلي

    مصدر, ناشر, عدد العناصر : 113

    Tovuti ya kidaawa ya islamic-invitation Inayo ongeza mada za kidaawa tofauti kwa lugha tofauti.

  • سواحيلي

    مصدر, ناشر, عدد العناصر : 60

  • سواحيلي

    مصدر, ناشر, عدد العناصر : 101

    Tovuti maalum ya Chuo kikuu cha kiislam cha Madina

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 27

    Shekh Twaha Sulaiman Bane: Amehitimu masomo yake kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji na ni Mudir katika Markaz ya Alharamayn, Dar es Salaam Tanzania.

  • سواحيلي

    مصدر, ناشر, عدد العناصر : 73

    -Ni ofisi inayojishughulisha na da’awah iyopo Ummu Alhamam katika mji wa Riyadh