عرض المواد باللغة الأصلية

أعلام وشخصيات

عدد العناصر: 153

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    -Shekh Nassor Khamis: Ni mlinganiaji maarufu nchini Kenya, na ni mtoa Darsa katika misikiti mbalimbali mjini Mombasa Kenya.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 11

    -Shekh Nurdin Kishki: Ni mlinganiaji na ni Imamu na Khatib katika Msikiti wa Vetinari Temeke Dar es salaam Tanzania.

  • سواحيلي

    مصدر, ناشر, مؤلف, عدد العناصر : 9758

    Taasisi ya kidaawah ambayo inaendeshwa na watu waliojitolea na michango ya wahisani, imeanzishwa kwa maelekezo yaliyotolewa na Shekh Abdul-aziz Bin Abdallah Bin Bazz Mufti wa Saudi Arabia.(Allah amrehemu)

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 29

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 37

    Shekh Qasim Mafuta: Amehitim masomo katika Chuo kikuu cha kiislam Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni Mlinganiaji maarufu nchini Tanzania na nje ya Tanzani, pia ni Mudir katika markazi yake, Pongwe Tanga Tanzania.-

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Rashad Mohammed Bin Abdul Salam bin Abdul Rahman al-Sharif, alizaliwa katika mji wa Khalil Palestina mwaka 1925 M.Nanikatika wasomaji mashuhuri duniani,nanimsomaji wa msikiti mtukufu wa Aqsaa,na msikiti wa Al-ibrahimy katika mji wa Al-khalil,alihamiya jordan mwaka 2002,na alikuwa imamu katika msikiti wa mfalme Abdullah Al-Awal katika Abdali.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Algeria, na yupo na Koran yenye kutegemewa na Wizara ya Mambo ya Kidini Algeria kwa upokezi wa WARSH kutoka kwa Naafi kwanjia ya Asbahaani.

  • سواحيلي

    مُراجع, عدد العناصر : 4

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 221

    Saad bin Saeed Al-Ghamdi, Msomaji maarufu mwenye sauti nzuri, imam na mhubiri msikiti wa Kano - Dammam - Saudi Arabia, na msimamizi mkuu wa kituo cha Imam Shatwiby cha Koran tukufu Dammam.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, ناشر, عدد العناصر : 742

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 2

    -Shekh Saidi Mtatuu Mango: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mlinganiaji katika mji wa Singida.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shekh Saidi Nyange:

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 11

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, مُراجع, عدد العناصر : 155

    Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, عدد العناصر : 575

    Mjumbe wa Baraza la Wasomi Wakubwa katika nchi ya Saudi Arabia

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 2

    Shekh Salim Bafadhili: Ni naibu Mudiri katika taasisi ya Answar, na ni mwalimu katika chuo cha Maahad Imamu Shafii na Ummu Salama, pia ni mlinganiaji katika misikiti ya yote ya Answar Tanga Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 41

    Shekh Salim Barahiyani: Amemaliza masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. na amehitimu masomo ya Masta nchini Pakistan, nimlinganiaji mashuhuri Kwa sasa ni mlinganiaji katika mji wa Tanga na ni Mudir katika Markaz za Answar nchini Tanzania.- فضيلة الشيخ سالم عبد الرحيم بارحيان، تخرج في جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية، بالرياض، والماجستير في باكستان، هو مدير مركز أنصار للشباب الإسلامي في مدينة تانغا تنزانيا، فهو من الدعاة المشهورين في تنزانيا.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 8

    -Shekh Salim Qahtwani: Amemaliza masomo yake ya Dini nchini Sudan, kwa sasa ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni khatwib ktika Misikiti ya Answar Tanga, pia ni mwalimu katika Maahad Imamu Shafii na Ummu Salama, Tanga Tanzania.