عرض المواد باللغة الأصلية

أعلام وشخصيات

عدد العناصر: 153

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 7

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa asili ya Pakistan sauti yake nzuri na kisoma safi.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji waki Saudi.

  • سواحيلي

    مصدر, عدد العناصر : 4024

    Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa, Nimkusanyiko wa tv za kislam, zinazo rusha matangazo yake kwa lugha tofauti za Africa, ujumbe wa chanel hizo : -Nikuleta Taadhira nzuri katika jamii. -Nikuyatambulisha uzuri wa uislam na sheo chake. - Kuhifadhi tabiya njema za uislam. Yote hayo nikupitiya vipindi vinavyo onyeshwa ambavyo nimuhimu katika maisha, na vinakidhi mahitaji tofauti ya kibinadamu. -nikuitika mahitaji ya mtazamaji.

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 6

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 14

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, عدد العناصر : 2

    Shekh Muhammad Bawazir: -

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 332

    Yeye ni Sheikh Muhammad bin Abdul-Wahhab bin Sulaiman A'ttamiymy, kazaliwa mwaka 1115هـ katika mji wa Uyaina Najdi katika Jazira ya kiarabu, ana vitabu vingi, na wameshuhudia juu yake wanachuoni kwa Elimu na Dini na Msimamo, na amefariki mwaka 1206 هـ Mwenyezi Mungu amrehemu akiwa na myaka 91

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 4

    Nimlinganiaji na anajuhudi katika kufanya Daawa na nimtunzi wa vitabu.

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, عدد العناصر : 160

    Mwana chuoni Shekh Muhammad Nasiruddin Al-Albani ni mmoja ya wanachuoni wa kiislam Mashuhuri katika zama za sasa na anazingatiwa Shekh Al-Albani nikatika wanachuoni wa Fani ya Hadithi mashuhuri wakipekee katika elimu ya Jarhi na Taadili (Kukosowa), Shekh Al-Albani ni Hoja katika Elimu ya Misingi ya Hadithi (Mustwalahu Alhadithi), walimzungumzia wanachuoni wa fani ya Elimu ya Hadithi kwamba Shekh Al-Albani alirudisha fani ya Hadithi katika zama za Ibn Hajar Al- Asqalan, na Alhafidh Ibn Kathir na wenginewe katika wanachuoni wa Fani ya Jarhi na Taadili. Jejea :Tovuti ya Imamu Al-Albani.http://www.alalbany.net

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Profesa wa somo la Hadith katika Chuo Kikuu cha Dar Al Uloom katika wilaya ya Deoband India, na Rais wa Taasisi ya Wasomi India - kubwa na kongwe ya Kiislamu Hindi binafsi

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Muhammad Shaaban Abuu Qarn: Ni msomaji Mmisri, amezaliwa mwaka 1984, alipata shahada yake ya tajweed na elimu ya sheria katika chuo cha Azhar.

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 465

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 8

    Shekh Muharam Idrisa Mwita: Amemaliza masomo yake katika kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika Tv Afrika.-

  • سواحيلي

    مُراجع, عدد العناصر : 1

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Morocco kipofu Mustafa maghribi, ambae husifiwa Morocco kuwa ni sheikh wa wasomaji, alizaliwa kwenye kijiji cha Craki kiongozi wa watoto Amrah Daaira bin Ahmed wilaya ya Satat mwaka 1964.

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 123

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 12

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Mustafa Raad Al-Azzawi: Amezaliwa 19-4-1986 Adhwamiya Baghdad Iraq, alikua ni mwana chama katika jumuiya ya wasomaji wa tajweed wa Iraq na ameshiriki mashindano mengi tofauti tofauti, amefariki 26-5-2007, Mwenyezi Mungu amrehem.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 11

    Shekh Nassor Abdallah Bachu: Alikua ni mlinganiaji maarufu nchini Tanzania, na alikua akitoa Darsa katika misikiti mbalimbali ndani na nje ya visiwa vya Zanzibar, pia alikua ni Imamu na Khatwib katika Msikiti wa Rahaleo Zanzibar mpaka anafariki dunia, Allah amsamehe na amrehem, Ameen!.-