-Shekh Saidi Mtatuu Mango: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mlinganiaji katika mji wa Singida.
Sheikh Hamza Rajabu Seyfu ni mmoja katika walinganiaji wa mji wa Mwanza nchini Tanzania kamaliza chuo kikuu nchini Saudi arabia kitengo cha Sheria (Usuluddin) ni Imamu na khatwibu katika masjid Taqwa jijini Mwanza yupo katika manhadi ya salafu sswaleh.
Shekh Jabir Yusuf Katura: Amemaliza masomo yake katika chuo kikuu cha kiislam Madina nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni mlinganiaji na khatwib katika Msikiti wa Ijumaa Mwanza, pia ni Mudir katika Markaz ya Thaqafah, Mwanza Tanzania.-
Msomaji wa Misri mwenye sauti tamu, na mwenye kibali (ijaza) cha kumasomo visomo aina kumi, na ana nakala kadhaa za Qur'ani kwa riwaya mbalimbali.
Msomaji wa Morocco kipofu Mustafa maghribi, ambae husifiwa Morocco kuwa ni sheikh wa wasomaji, alizaliwa kwenye kijiji cha Craki kiongozi wa watoto Amrah Daaira bin Ahmed wilaya ya Satat mwaka 1964.