Hijja ni nguzo ya tano ktk Uislamu

Mwandishi :

Kurejea:

Maelezo

Makala hii yaelezea Mazuri ya Hijja...
Ndugu zangu kwa kweli ktk ibada tukufu ya Hijja kuna mengi sana mazuri hata uongee vipi huwezi kuyamaliza ikiwemo namna watu wanavyo litaja sana jina la Allah usiku kwa mchana, Maskini na Tajiri kuvaa nguo aina moja, watu kusaidiana kwa kubwa na dogo. nk...

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu