Kukumbusha neema ya uislamu

Maelezo

Kukumbusha neema ya uislamu:
katika khutba hii sheikh Allah amuhifadhi amekumbusha neema ya Mwenyezi Mungu juu ya waja wake, na neema kubwa ni neema ya uislamu, niwajibu kumshukuru Allah na kushikamana nayo na kumuiga nabii Muhammad (s.a.w), hakika walio tangulia hawakukubali dini nyingine zaidi ya uislamu, kisha sheikh akataja mifano ya badhi ya maswahaba walio adhibiwa katika njia ya Allah ili warejee katika ukafiri lakini hawakukubali.

Download

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu