Uharamu wa kumwaga damu ya Muislamu

Mwandishi :

Maelezo

Uharamu wa kumwaga damu ya Muislamu:
Katoa khutba ya ijumaa sheikh Swaleh bin Muhammad Ali-twalib Allah amuhifadhi katika muskiti wa makkah tarehe 17-02-1432, kazungumzia uharamu wa kumwaga damu ya Muislamu, akataja dalili katika Qurani na sunna, akaelezea kujiripua na adhabu zake siku ya qiyama, akawatahadharisha vijana wa kiislamu kumwaga damu za waislamu au wasio kuwa waislamu bila ya haki.

Download

Vyanzo:

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu