Neema ya amani chini ya kivuli cha tauhidi ya Mwenyezi Mungu

Mwandishi :

Maelezo

Neema ya amani chini ya kivuli cha tauhidi ya Mwenyezi Mungu:
Kazungumzia sheikh Swaleh bin Muhammad Ali-twalib -Allah amuhifadhi- khutba ya siku ya ijumaa katika muskiti wa makkah tarehe 20-04-1432. kaelezea amani na usalama ulio neemeshwa mji wa makkah na madina, na akawahimiza waislamu wahifadhi neema hiyo na kuto acha mwanya kwa maadui wa kiislamu kuvuruga amani, na akatoa usio kwa waislamu wote kushikamana na kitabu cha Allah na sunna za mtume (s.a.w), na mwenendo wa wanachuoni na wenye elimu, kufanya hivyo ndio sababu ya kufaulu duniani na akhera.

Download

Vyanzo:

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu