Mambo maalum na mazuri ktk Didi-6

Mwandishi : Abdul Rahman bin Abdul Karim Sheihah

Tafsiri:

Kurejea:

Maelezo

Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya elimu na ujuzi- Uislamu ni dini yenye uhakika- Uislamu mtu akifanya mema huzidishiwa mara dufu- Uislamu hubadilisha mabaya kua mema kwa wale wenye kutubia kwa kweli- Uislamu unadhamana ya kuendelea mema ya mtu baada ya kufa kwake.

Download

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu