Kisa cha kuslimu Abdul-Lateef Abdullah, USA

Maelezo

Kisa cha kuslimu Abdul-Lateef Abdullah Mmarekani: Namna alivyo jifundisha Uislamu ktk maisha ya chuo kikuu kutoka kwa mwalimu wake, na namna alivyo badilika, na namna Uislamu ulivyo badili maisha ya Abdul-Lateef ktk hali nzuri, anaelezea maisha yake namna yalivyo kwa sasa.

Download
Maoni yako muhimu kwetu