Kisa cha kuslimu Alojundsa, Muhindi alikuwa hana dini zamani

Maelezo

Mfano ya kiarabu unasema: (Uzuri wa mambo ujuwe kinyume chake) kisa cha huyu mwanamke kapitia daraja tatu Muhindi hanadini, kisha akamuamini Mwenyezi Mungu baadae, akaolewa na Mkristo! ikawa vurugu akaanza kutafuta haki, akaongozwa na Allah katika Uislamu, kwa sasa yupo njia panda: achaguwe Uislamu au abakie na mume?.

Download
Maoni yako muhimu kwetu