Nataka kuingia katika Uislamu lakini...

Mwandishi :

Maelezo

Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania ikielezea ufahamu wa kimakosa kuhusu kuingia katika Uislamu ikiwemo:
1: Mwenyezi Mungu kafanya wepesi katika kuingia kwenye Uilsamu, na wala hajaweka uzito wowote, 2:Tofauti ya ufahamu wa kimakosa, unaoweza kumzuwia mtu kuingia katika Uislamu, 3: Mdhambi yaliyo tangulia, na khofu kwa yaliyo tangulia, au kutompata mjuzi katika waislamu, haifai kabisa kumzuwiya mtu yeyote anaetaka kuingia katika Uislamu.

Download

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu