• Bengali

  PDF

  Uislamu na haki za kibinadamu kwa ujumla: Inazungumzia makala hii kuhusu haki za binadamu na chimbuko lake na tofauti zake katika kila umma, na kwamba kila umma ulikuwa na upungufu katika hili isipokuwa katika uislamu peke, ndio ulio kamilika kuhusu haki za binadamu, na akili inakubaliana na hayo...

 • Bengali

  DOC

  Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Hakika mbora wenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni mcha Mungu hakika Mwenyezi Mungu ni mjizinMwenye habari), Hakuna mbora wa yeyote juu ya mwengine isipokuwa kwa kumcha Mwenyezi Mungu. na makala hii inaelezea mada hii kwa ufupi.

 • Bengali

  PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno kwa umafupi na yaliyo enea kuhusu dini ya uislamu na misingi yake, na nguzo zake, na mema yake na makusudio yake, kwa hakika niufunguo kwa mwenyekutaka kuujua uislamu au kuingia.

 • Bengali

  PDF

  Malengo yetu katika makala hii ni kuelezea Msimamo wake Muhammad (s.a.w) katika kuhakikisha haki za Binadamu katika nyanja zote za uhai, kwa mujibu wa Qur-ani na sunna zake sahihi, na ndiyo njia anatakiwa binadamu aifuate kwa kila zama na kila wakati.

 • Bengali

  PDF

  Haki za wafanya kazi katika uislamu: kwa hakika uislamu umewainuwa wafanya kazi na kuwalea na kuwakirimu, na ukatambua haki zao kwa mara ya kwanza katika historia, bada yakuwa wafanya kazi katika nidhamu zilizo tangulia walikuwa kama watumwa, wengine walikuwa wakiwadhalilisha, katika makala hii kabainisha mtunzi badhi ya haki za wafanya kazi katika uislamu kwa mujibu wa kitabu na sunna.

 • Bengali

  PDF

  Nafasi ya Mtume (s.a.w), ktk kuweka haki za binadamu: Ujumbe unao bainisha haki za binadamu ktk Uislamu, kwa namna alivyo pangilia Mtume (s.a.w), pia nafasi ya Maswahaba ktk kueneza hilo, na kutaja maneno ya wanachuoni wa zama hizi kuhusu mada hii.

 • Bengali

  PDF

  Haki za muislamu: Hakika muislamu anazo haki juu ya muislamu mwenzake, haki zilizo bainishwa na sheria, na makala hii inakumbusha haki hizo, yafaa kwa kila muislamu azikumbatie.

 • Bengali

  PDF

  Yatakiwa binadamu ajitambuwe ktk maisha haya ya kidunia kisha afanye maandalizi ya safari nzito ya kuelekea Akhera.

 • Bengali

  DOC

  Makala hii yazungumzia Uhuru wa msingi kwa Binadamu ndani ya Uislamu

 • Bengali

  PDF

  Kutoka kwa Abihuraira (r.a), amesema: amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w): Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni sita, pakaulizwa nizipi hizo ewe mtume wa Allah? akasema: Utapo kutana nae msalimie, na atapo kuita muitike, na atapo kutaka nasaha mnasihi, na atapo toa chafya akamshukuru Allah muombee dua, na atapo umwa mtembelee, na atapo fariki kamzike. Hizi ndio haki zamsingi zilizo wekwa na uislamu kwa wafuasi wake, ili waja wa Allah wawe ndugu, makala hii imeelezea kwa ufupi haki hizi na namna ya kuzifanyia kazi katika maisha ya kila siku.

 • Bengali

  PDF

  Kisa kizuri cha dk kutokea Amerika aliingia katika Uislamu ameathiriwa na mgonjwa wa kiarabu aliekwenda katika Hospitali yake kwa kujifungua.

 • Bengali

  PDF

  Kisa cha kuslimu Marke Shafir Meliyonri Muamerika: Makala yazungumzia namna alivyo slimu Wakili maarufu Meliyonri Muamerika ((Marke Shafir)), na alikuwa wa kili wa Maiko jakcon.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu