• PDF

  Makala kwa lugha ya Kingereza inazungumzia nukta (30) kuhusu Uislamu ktk nyanja tofauti na kwanjia nyepesi mfano: Maana ya Uislamu, na Nguzo zake, na Vyanzo vyake, kisha kujibu baadhi ya Utata.

 • PDF

  Makala kwa kingereza ikizungumzia maana sahihi ya ubaguzi ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya kingereza ikielezea Misingi kuhusu haki za binadamu zilizo wekwa na Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya kingereza inaelezea habari juu ya maneno yanayo enezwa kwamba Uislamu umeenea kwa upanga.

 • Kuu kubali Uislamu Kingereza

  PDF

  Makala kwa lugha ya Kingereza inazungumzia chalenj ya vikwazo vya kuingia katika Uislamu, na kwamba kuingia katika Uislamu husamehewa madhambi yote.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Kingereza ikielezea hatua anazo hitajia mtu kuingia katika Uislamu, na namna ya kuwa Muislamu.

 • Misingi ya uislamu Kingereza

  DOC

  Kwaufupi ni kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu Mmoja tu, pamoja na sherehe kwa urefu katika kipengele cha kwanza kumuamini Mwenyezi Mungu.

 • Ni nini Uislamu? Kingereza

  DOC

  Inazungumzia makala hii ya kwa mba ujumbe rasmi katika Uislamu ndiyo ujumbe rasmi katika dini za mbinguni, na kwamba chimbuko ni moja.

 • DOC

  Makala hii yazungumzia kuhusu Amani na Salamu katika Uislamu.

 • Mazuri ya Uislamu Kingereza

  DOC

  Makala hii inazungumzia Mazuri ya Uislamu.

 • PDF

  Haki za binadamu katika uislamu: Katika resechi hii kuna ubainifu kuhusu uhakika wa Haki za binadamu kama inavyo elezwa ktk zama tulizo nazo, pamoja na kuweka Alama zake, na maana zake, na matokeo yake, ktk vipimo vya Kiislamu.

 • PDF

  Makala hii inatukumbusha kuhusu ufahamu wa kimakosa ktk Uislamu na Waislamu.

 • PDF

  Inaweka wazi makala hii Maana ya dini ya Uislam kwa ufupi, na kubainisha kueneya kwake kwenye kila nyanja za uhai, na ktk misingi ya kiitikadi na kuhusu Mwenyezi Mungu, na Qur-ani, na Nabii Muhammad (s.a.w).

 • PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno machache yenye kuenea kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake. kwa hakika niufunguo kwa mwenye kutaka kufahamu Una kuingia ktk islamu.

 • PDF

  Makala yenye faida inabainisha safari ya Stevens kuelekea ktk Uislamu baada ya maswali mengi, Mwanadamu wakati wowote akifikiria ktk uhai wake na kifo chake hapana budi fikra hizo zimfikishe kwe Allah.

 • PDF

  Makala inamuelezea kisa cha kusilimu Dr. Benoist accepted, baada ya kusoma Qulhuwa Llahu, nayo ni makala kwa kila anaetaka kujua uhakika wa Tauhidi ktk Uislamu.

 • Dini ya Uislamu Kingereza

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Risala fupi inayo bainisha ufahamu halisi wa Uislamu na daraja zake na matunda yake na mema yake na vitenguzi vyake.

 • PDF

 • Ni nini Uislamu? Kingereza

  PDF

  Uislamu ni unyenyekevu na kutii yaleyote aliyo kujanayo Mtume Muhammad (s.a.w).

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu