• PDF

  Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Espania ikielezea Mazuri ktk Uislamu na njia ya kutaka kuingia.

 • PDF

  Makala iliyo tafsiriwa kwa lugha ya Ispania ikielezea Ubora wa kuingia ktk Uislamu. hakuna neema kubwa kuliko neema ya kuwa Muislamu au kuingia katika Uislamu, kwa sababu ndio dini peke aliyo iridhia Mwenyezi Mungu Mtukufu.

 • Craig Robertson Spanish

  PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania ikielezea kisa cha kusilimu: Craig Robertson alikuwa mkristo kutokea Kanada.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania inaelezea maneno ya kimakosa kwamba Uislamu umeenea kwa upanga, na kuwalazimisha watu kuingia kwa nguvu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania inazungumzia mambo ya usawa wakibaguzi ulio zungumziwa na Uislamu na mifano hai ya historia.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania inazungumzia misingi kuhusu haki za banadamu katika Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Espania inaelezea kuhusu nguzo ya tano ktk nguzo za Uislamu nayo ni Hijja.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Espania ikielezea ni nini Malengo katika uhai huu, na mahojiano kuhusu maana ya Ibada.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania ikielezea Kuenea kwa Uislamu, na kwamba unafaa na zama zozote na wakati wowote.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Espania ikielezea ya kwamba Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu Mmoja tu, na kwamba huu ndio misingi wa Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Espania inaelezea kwamba ujumbe rasmi ktk Uislamu ni ujumbe ule ule wamsingi ktk Dini za mbinguni kwa sababu wanaozaliwa huzaliwa ktk Uislamu, na kuangalia baadhi yanayo itakidiwa ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania inazungumzia utangulizi kwa ufupi kuhusu maana ya Uislamu, na kumfahamu Mwenyezi Mungu katika Uislamu.

 • PDF

  Makala ilio tafsiriwa kwa lugha ya Ispania ikielezea na kubainisha ya kwamba uislamu ni dini ilio kamilika, na kwamba ndio dini ya kweli kwa kila anaetafuta haki.

 • Dini ni nyepesi Spanish

  PDF

  Dini ni nyepesi: Amezungumza muandishi katika makala haya kuhusu wepesi wa dini a uislamu katika kila kitu, na kubainisha tofauti kati ya uislamu na dini nyingine katika uzito na wepesi.

 • PDF

  Ufahamu wa kimakosa kuhusu Uislamu: Kipeperushi kinazungumzia Usahihi wa Ufahamu wa kimakosa kuhusu Uislamu.

 • Maana ya Uislam Spanish

  PDF

  Makala kutoka kwenye Taasisi ya (WAMY) Ikielezea maana ya Dini ya Uislamu.

 • PDF

  Vipeperushi kuhusu Uwepo na bishara za Muhammad (s.a.w) katika Injil.

 • PDF

  Haya ni maneno kwa ufupi kutoka katika kitabu " Muhammad katika Turati na Injil" cha Sheikh Ahmad Diydat (r.h) na malengo ya kitabu ni kuonyesha Ubashiri wa Utume wa Muhammad (s.a.w) katika vitabu vilivyo toka mbinguni (Taurati na Injil).

 • PDF

  Ndani ya Uislamu zipo haki za binaadamu wala hakuna dhulma ndani yake...

 • PDF

  Maana fupi ya Uislam:Maana fupi ya dini ya Uislam na kubainisha ueneaji wake ktk nyanja zote za maisha, na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu