Kuharakisha Kutekeleza Ibada Ya Hijja

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: Baadhi ya sababu za Muislam kuharakisha kuitekeleza ibada na nguzo ya Hajji, yakwanza nikuharakia kutumia nafasi ya kuwa na uwezo, sababu ya poli nikwamba hujuwi utakufa lini, pia amezungumzia sababu batili wanazo towa wasio taka kuhiji.
2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu za muislam kuharakisha ibada ya Hijja ni umuhimu na ubora wa ibada hiyo, pia imezungumzia umuhimu kwa muislam kukimbilia jambo la kheri
3- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu za muislam kuharakisha ibada ya Hijja ni kwamba Hijja ni sababu ya kusamehewa madhambi yote, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga na kuhifadhi matendo ya Hijja
4- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu za muislam kuharakisha ibada ya Hijja ni kwamba malipo ya Allah kwa mtu aliyefanya ibada ya Hijja ni Pepo, pia imezungumzia ubora wa neema ya Pepo ya Allah.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu