Hija niwajibu kwa nani

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: Hijja ni wajibu kwa Muislam ambaye ni baleghe mwenye akili mwenye uwezo tena mukalafu aliye huru, pia imezungumzia hasara ya mtu mwenye uwezo kisha akafa bila ya kuhiji.
2- Mada hii inazungumzia: Uzembe unaofanywa na baadhi ya waislam wenye uwezo katika kuitekeleza Hija na kwamba ni hasara kubwa kwa watu kama hao, pia imezungumzia kuwa hija ni mara moja tu katika umri

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: