Umuhimu wa Ibada ya hija

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Hija na kwamba (Alqaaba), na ameeleza kuhusu Maqamu Ibrahima, pia imezungumzia namna ilivyojengwa Alqaaba na chanzo cha kuswali rakaa mbili nyuma ya maqamu Ibrahima.
2- Mada hii inazungumzia: Ubora na umuhimu wa kuhiji katika nyumaba ya Allah Tukufu na kwamba ndiyo nyumba ya kwanza iliyo wekwa na Allah kwa ajili ya ibada, pia imebarikiwa na Allah na ni uongofu kwa waja.
3- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama zilizo wazi katika nyumba ya Allah Hajarul-as’wad na kwamba mwazo lilikua jeupe lakini limebadilika kuwa jeusi kutoka na madhambi ya watu kama alivyo lielezea Mtume (s.a.w).

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi