Uislamu ni dini ya akili

Mhadhiri :

Maelezo

Uislamu ni dini ya akili:
Katika muhadhara huu sheikh anabainisha ya kwamba dini ya uislamu ndio dini ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu, inayo wafikiana na akili ya binadamu, kwa hakika uislamu umeleta sheria zenye hikima zinazo kwenda sambamba na akili ya banadamu na maumbile yake.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu