Usawa (01) Usawa ktk Uislamu

Mhadhiri :

Kurejea:

Maelezo

Muhadhara kwa lugha ya Uzbikia, ukielezea: Usawa kilugha na kisheria. Neno Usawa ndani ya Qur-an Tukufu. Tofauti kati ya Usawa na Uadilifu. Namna za Usawa katika Uislamu. Laiti Fatuma binti Muhammad (s.a.w), akiiba ntamkata mkono wake. Usawa katika kulinda damu. Usawa kati ya Mume na Mke. Usawa kati ya Watoto.

Vyanzo:

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu