Kipindi na kisa cha kuslimu swahaba

Maelezo

Mkusanyiko wa vipindi (kisa cha kuslimu swahaba), kilicho tolewa katika redio ya saudi arabia, kila kipindi kinagusia kuslimu swahaba miongoni mwa maswahaba watukufu, kipindi hiki hutolewa na dk: Hassani Habashi

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu