Kwa nini sisi tupo hapa?

Mhadhiri :

Maelezo

Yatakiwa mtu ajiulize maswali mengi ktk kichwa chake:
1: kwa nini tupo hapa duniani?
2: tumekuja kufanya nini?
3: kabla ya kuwepo hapa tulikua wapi?
ukijiuliza maswali haya utapata majibu ya sababu za kuwepo hapa duniani.

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu