Unapatikana wapi msahafu wa mashia ?

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Madai ya Mashia kwamba wana Msahafu wenye ziada ya sura na ayah kuliko Msahafu huu tulionao, akinukuu shekh kutowa katika vitabu vya mashie, na nikatika maswali yasiyo jibika.

Download
Maoni yako muhimu kwetu