Nasaha Muhimu Kwa Mume Katika Ndoa

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Sheria ya kuoa wake zaidi ya mmoja na uadilifu katika kutekeleza haki za wake, na chanzo cha kukataa mke kuongezewa mke wa pili, na msimamo na subra kwa alie ongeza mke wa pili.
2- Mada hii inazungumzia:Utukufu wa ndoa na nasaha muhimu kwa mume katika kuoa, pia ndoa nisheria ya Allah, na pia inazungumzia malengo makuu ya sharia ya kiislam, ikiwemo kuhifadhi kizazi, na hukumu ya kuoa zaidi ya mke mmoja, na hukumu za kisheria katika kuoa wake zaidi ya mmoja.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: