Makosa Wanayo Fanya Wanawake Katika Minasaba Tofauti
Mhadhiri : Yasini Twaha Hassani
Kurejea: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo
Mada hii inazungumzia:Makosa makubwa wanayo fanya akina mama katika kupeyana mafunzo au misiba au sharia, pia ametaja sifa ya mwanamke ambae ni Dayuth, kisha amezungumzia Umuhimu wa kukumbushana katika Dini.
- 1
Makosa Wanayo Fanya Wanawake Katika Minasaba Tofauti
MP3 41.3 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: