Utunzi wa kielimu

  • Balochi

    MP3

    Uislamu ni dini ya akili: Katika muhadhara huu sheikh anabainisha ya kwamba dini ya uislamu ndio dini ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu, inayo wafikiana na akili ya binadamu, kwa hakika uislamu umeleta sheria zenye hikima zinazo kwenda sambamba na akili ya banadamu na maumbile yake.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu