Utunzi wa kielimu

 • Kibambari

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Bambaria, ukielezea kuhusu Uislamu ni dini ya ukati kwa kati, katika kuchukuwa haki na kutowa, ktk Itikadi, ktk Ibada, ktk sheria, ktk mambo ya lazima.

 • Kibambari

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Bambaria, ukielezea ya kwamba Uislamu ni dini kutoka kwa Mwenyezi Mungu kuanzia mfumo wake na utaratibu wake, na unalinda mali na heshima na akili.

 • Kibambari

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Bambaria, ukielezea maana ya Uislamu, na kubainisha uhalisia wa uislamu sahihi, na kwamba katika malengo ya Uislamu ni: kutengeneza nyoyo,kujenga familia ya kiislamu, na kutengeneza jamii iliyo bora, kwa kufanya hivyo watu wote watakuwa bora.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu