Utunzi wa kielimu

 • Kingereza

  MP3

  Unajuwa nini kuhusu Uislamu?: Maana kwa ufupi kuhusu Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa nyanja zote za uhai, na kuhusu Itikadi na Mwenyezi Mungu na Qur-ani Tukufu na Nabii Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  MP3

  Kipindi kipya cha Sheikh Dhakir anawaelezea wazururaji wasiokuwa na malengo ktk uhai huu hawafahamu malengo ya kuwepo kwao, kwa sababu hiyo Sheikh anatoa njia sahihi ukiifuata itakuongoza ktk sehemu nzuri na kukuepusha na sehemu mbaya.

 • Kingereza

  MP3

  Muhadhara mzuri sana kautowa Sheikh Khalid Yassin akiwa Saudia mwaka 1994, walislimu watu 43 usiku uleule.

 • Kingereza

  MP3

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Makusudio katika uhai: ni kumuabudu Mwenyezi Mungu Mmoja tu na kuto mshirikisha katika ibada zake, na kufanya aliyo amrisha na kujiepusha na aliyo kataza.

 • Kingereza

  MP3

  Jee Uislamu ni Dini kimataifa? Ndio Uislamu ni Dini ya Kimataifa...

 • Kingereza

  MP3

  Niyepi yanayopasa uyajuwe kuhusu Uislamu?

 • Kingereza

  MP3

  Uislamu maana yake ni: Kujisalimisha na kutii na kufuata na kunyenyekea yale yote aliyo kujanayo Mtume Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  MP3

  Mhadhiri : Bilal Philips

 • Kingereza

  MP3

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Ubora wa Uislamu ni mkubwa sana hatuwezi kuuzungumzia na kuumaliza Uislamu unaleta amani, heshima, unahimiza kuwaheshimu wazazi, wa kubwa, kuwahurumia wadogo, unahimiza kusoma, kufanya kazi, nk...

 • Kingereza

  MP3

  Sherehe ya itikadi za Uislamu

 • Kingereza

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya kingereza, anajibu maswali dk: Loranc Baruwani kuhusu maswali makubwa yanayo izunguka akili ya Kiumbe, maswali yenyewe ni: Nani ambae kaniumba? na kwa sababu gani mimi nipo hapa? na ninapo kuwa mtu mwema Jee hili halitoshi? na kwa nini haiwezekani kumuabudu Mungu kwa njia tunayo itaka wenyewe?.

 • Kingereza

  MP3

  Mada ya Audio kwa lugha ya Kingereza ikielezea umuhimu wa Muiislamu kutafuta elimu, na kubainisha njia sahihi ya kutafuta elimu, na tabia ya mwenye kutafuta elimu ya kisheria, na yaliyo wajibu kwa Muislamu kujifundisha.

 • Kingereza

  MP3

  Kisomo cha sauti kuhusu visa vya badhi ya wanawake waliyo ingia katika Uislamu.

 • Kingereza

  MP3

  Yatakiwa mtu ajiulize maswali mengi ktk kichwa chake: 1: kwa nini tupo hapa duniani? 2: tumekuja kufanya nini? 3: kabla ya kuwepo hapa tulikua wapi? ukijiuliza maswali haya utapata majibu ya sababu za kuwepo hapa duniani.

 • Kingereza

  MP3

  Amani na kuenea Uislamu: Baadhi ya watu wanadhani ya kwamba Uislamu umeenea kwa upanga, mambo ambayo sio sahihi kabisa, Uislamu umeenea kwa amani na tabia njema zilizopo katika Uislamu.

 • Kingereza

  MP3

  Haki za binadamu katika uislamu

 • Kingereza

  MP3

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Mjadala wa wazi kuhusu Uislamu

 • Kingereza

  MP3

  Muhadhara huu waelezea kuhusu Uislamu na namna ulivyo anza.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu