Utunzi wa kielimu

  • Kinepali

    MP3

    Mazungumzo kuhusu maisha ya Nabii asie juwa kusoma kilicho andikwa Muhammad (s.a.w) kwa lugha ya Nibali, nakutaja misimamo ya Wanachuoni wasio kuwa Waislamu kuhusu Mtume (s.a.w) na kumkubali kwao ya kwamba Nabii wa Kiislamu ni Muhammad (s.a.w), Alikuwa Mtume na rehma kwa ulimwengu mzima, na kwamba sheria na muongozo aliotumwa nao ndio muongozo bora, na yametajwa yote hayo katika vitabu vya wasiokuwa Waislamu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu