-
Mohammad Sharifu Famau "Idadi ya Vipengele : 5"
Maelezo :Shekh Muhmmad Sharifu Famau: Alikua ni mlinganiaji maarufu nchini Kenya, pia alikua ni Mudir katika Madrast Tawhid mpaka alipofariki dunia katika mji wa Malindi nchini Kenya, Allah amsamehe na amrehem, Ameen!.-