Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuamini Qadari na kwamba kila kitu anapanga Allah, pia imezunguzia muislam anatakiwa kuishi na watu vizuri pamoja kutosheka na kichache anachopata.
Mada hii inazungumzia Ufalme wa Allah na kwamba anachukia pindi unapo acha kumuomba, na nahakika mwanadamu anapo ombwa anachukia, na anampa kila mwenye kumuomba na Allah ndio mmiliki wa mbingu na ardhi.
Mada hii inazungumzia saa ya kujibiwa dua ambayo inapatikana siku ya ijumaa, amebainisha wakati huo, na pindi mtu anaposhtuka usingizini akiwa amelala na udhu, na baina ya Adhuhuri na Asri siku ya ijuma tano