Mada hii inazungumzia: Fadhila za Hijja na mapenzi ya Allah kwa waja wake na kwamba mwenye kufanya Hijja ya kweli malipo yake ni pepo, pia imezungumzia Hijja ni mazingatio kwa waja ili watu wasibaguane na wala wasidharauliane.
Mada hii inazungumzia: Mashekh kukosa msimamo katika Da’awah ni chanzo cha waislamu kugawanyika katika jamii, imezungumzia pia Wanachuoni walikhitilafiana lakina hawakufarakana.