Idadi ya Vipengele: 287
8 / 4 / 1436 , 29/1/2015
Mada hii inazunguzia hukumu ya kusherehekea krismas na pasaka na uharamu wa kuwapa pongezi au kupeyana zawadi.
23 / 2 / 1436 , 16/12/2014
Mada hii inazunguzia ubora wa kutoa Sadaka, na namna Mtume s.a.w alivyoizungumzia Sadaka.
Mada hii inazungumzia ubora wa kumlea yatima na hatari ya kumdhulum, kumnyanyasa na kumtesa.
5 / 2 / 1436 , 28/11/2014
Mada hii inazunguzia,wakewanaostahiki kupewa talaka,kwasababu ya tabiya mbaya walizo nazo zinazo pingana na uislam.
23 / 2 / 1435 , 27/12/2013
Mada hii inazungumzia ubora wa swaumu ya ashuraa na utukufu wa allah wa kusamehe madhambi katika siku ya ashura.
22 / 2 / 1435 , 26/12/2013
Mada hii inazungumzia kuchinja na hukumu yake na hukumu ya kuchinja kwaajili ya mizimu na na mashetani ao makaburi.