Mada hii inazungumzia: Uwajibu wa mtu kuiokoa nafsi yake kabla ya watu wengine, kisha imeelezea khasara ya mashekh na walinganiaji wanao khalifu dini siku ya Qiyama.
Mada hii inazungumzia: tiba ya ususuwavu wa moyo, ikiwemo Kumuamini Allah na daraja za kumuamini Allah, kisha akabainisha kuwa imani ndio msingi wa maisha bora
Katika malezi ya uislam katika Qurani madhara ya kuwa na moyo mgumu, na ubaya wa kujifananisha na mayahudi, kisha amebainisha sababu ya kuto nufaika na Qur’an.