-
Ibn Qayyim Al-Jawziyya "Idadi ya Vipengele : 159"
Maelezo :Ibn Qayyim Abu Abdullah al-Shams al-Din Muhammad bin Abi Bakr ibn Ayyub bin Saad bin Hariiz bin Makki Zainuddin kisha Kisha nimtu kutoka Damascus na anafuata Madhehebu ya Hanbali, anajulikana kwa jina la Ibn Qayyim Al-Jawziyya, Kazaliwa siku ya saba ya mwezi wa Safar Mwaka 691 H.
Na alifariki usiku wa Alkhamisi 13/7/751 Mwenyezi Mungu amrehemu.