Mada hii inazunguzia: Namna ya kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan, pia imezungumzia kujiandaa kiibada na twaa ya kweli kabla ya kuingia Mwezi wa Ramadhan, na kuzidisha ibada na matendo mema ndani ya Mwezi wa Ramadhan.
((Imani ilio bora: ni kufanya Subra na kusamehe: neno kuhusu hadithi ya Mtume (s.a.w) wakati alipo ulizwa: Ni imani gani bora? akasema: Kusubiri na kusamehe)).
Follow us: