Idadi ya Vipengele: 1198
23 / 6 / 1438 , 22/3/2017
Mada hii inazungumzia: Nafasi na daraja ya swala katika uislamu, pia imeelezea namna maasi yalivyo kithiri kutokana na watu kuacha swala
Mada hii inazungumzia: Mambo yote yaliyo ya sunna katika swala, pia imeelezea namna ya kusujudu kwa wanawake
Mada hii inazungumzia: Mambo yaliyo ya wajibu katika swala pamoja na sunna za swala, pia imeelezea hukumu ya sijda ya kusahau kwa maamuma
Mada hii inazungumzia: Mambo matano yanayo patikana katika swala, pia imeelezea hukumu ya kusahau jambo la wajibu katika swala
Mada hii inazungumzia: Tahiyatu ya mwisho pamoja na kumswalia Mtume (s.a.w), pia imeelezea mambo kumi na nne ambayo ni nguzo za swala kama ilivyo thibiti
Mada hii inazungumzia: Namna ya kusujudu juu ya viungo saba, pia imeelezea umuhimu wa mtu kuwa na utulivu katika nguzo zote za swala
Mada hii inazungumzia: Tofauti ya nguzo, sharti na wajibu katika swala, pia imeelezea umuhimu wa kuijua Qur’an na kuisoma dini ya Allah
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuchunga na kutekeleza nguzo na sharti za swala, pia imeelezea juu kusoma Suratul Fat’ha nyuma ya Imamu
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayo haribu swala ya mtu, pia imeelezea hatari ya kufanya mchezo katika swala
Mada hii inazungumzia: Makatazo ya kuiendea swala na hali umekula kitunguu, pia imeelezea umuhimu wa kujiepusha na mambo yenye kukera watu