Idadi ya Vipengele: 1198
23 / 6 / 1438 , 22/3/2017
Mada hii inazungumzia: Kuacha swala na sababu ya kuporomoka kwa maadili katika zama zetu, pia imeelezea jinsi baadhi ya wanawake wanavyo chupa mipaka
Mada hii inazungumzia: Alama za watu wema hapa duniani, pai imeelezea umuhimu wa kujipamba na sifa ya ucha Mungu
Mada hii inazungumzia: Ubora na umuhimu wa swala ya Qiyamu layli (Tahajud), pia imeelezea sifa za waumini wa kweli
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuswali swala ya Taraweh, pia imeelezea maana ya sunna ya Qiyamu layli (Tahajud)
Mada hii inazungumzia: Swala ya Taraweh namna alivyoiswali Mtume (s.a.w) na Maswahaba zake, pia imeelezea umuhimu wa swala ya Taraweh
Mada hii inazungumzia: Umuhumu na ubora wa swala ya Dhuhaa, pia imezungumzia idadi ya rakaa ya swala ya Dhuhaa.
Mada hii inazungumzia: Nafasi na wakati wa kusoma dua ya Kunuti katika swala, pia imeelezea wasia wa Mtume (s.a.w) aliomuusia Omar Bin Khatwab
Mada hii inazungumzia: Makemeo ya juu ya wale wenye kuswali wakati na muda wanaotaka, pia imeelezea kuwa mwenye kuacha swala ni kafiri
Mada hii inazungumzia: Swala ndio ulikuwa wasia wa mwisho aliousia Mtume (s.a.w) kabla ya kufa kwake, pia imeelezea namna amana ilivyo potea
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama, pia imeelezea umuhimu wa kuacha maasi na kurudi kwa Allah