Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo za Uislam na mpangilio wake kutokana na dalili zilizo pokelewa katika kubainisha nguzo hizo, kisha akabainisha ubora wa swala na cheo chake na hukumu ya alie kufa na alikuwa haswali.
Mada hii Inaelezea kuwa Uislam ndio dini ya haki na kwamba hataingia peponi ispokuwa mwislam, kisha ikabainisha kuwa Uislam ndio njia ya kuingia peponi.
Mada hii Inaelezea kuwa Uislam nikutekeleza na kufuata sheria ya Allah na yote aliyo kujanayo Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake, na hii ndio maana ya Uislam.
Mada hii Inaelezea kuhusu Shirki na kwamba ni dhambi ambayo haisameheki ikiwa mtu atakufa bila kutubia, kisha akabainisha malengo ya kuumbwa mwanadamu.
Mada hii Inaelezea kuhusu alipo Allah Mtukufu, kabainisha kuwa yuko mbinguni na amestawi juu ya Arshi yake na hafanani na kiumbe yoyote katika kustawi kwake.
Mada hii Inaelezea kuhusu Maana ya kumfuata Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake, kisha ametaja hatuwa za kumfuata Mtume na Maswahaba zake, Kisha ametaja baadhi ya sunnah za Mtume kama swaumu ya Ashuraa.
Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya shahada ya pili ambayo ni Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah. Maana yake na dalili za uwajibu wa kumfuata Mtume.