Mada hii inazungumzia: Madhabu ya asie swali, na kwamba maradhi sio sababu ya kuacha swala ,na kwamba asie swali nikafiri, kisha amebainisha namna ya kuswali mgonjwa swala ikimpita.
Mada hii inazungumzia: Namna anavyo elekea mgonjwa qibla, na namna anavyo swali akikosa wa kumuelekeza qibla, na niwakati gani mgonjwa aaswali kwa moyo wake.