-
Sheikh Abubakar Shatwiry "Idadi ya Vipengele : 27"
Maelezo :Sheikh Abubakar Shatwiry kazaliwa mwaka 1970 م, na ameishi ktk mji wa Jidda, pia ni Imamu ktk Muskiti wa Furqan mtaa wa Nasim Jidda.
kisha owa, ana watoto (4), anaitwa Baba Abdurrahman.
Masomo yake: Anacho kibali cha Qur-ani Tukufu kwa upokezi wa Hafswa kutoka kwa A'swim kapokea kibali hicho kutoka kwa Sheikh Aiman Rushdi Suwaidi mwaka 1416 هـ Anayo digri ya pili ya Mahesabu ameipata mwaka 1420 هـ.