Dini sahihi

Mwandishi : Bilal Philips

Maelezo

Kitabu hiki: ni sherehe kwa ufupi kuhusu dini ya Uislamu, na kwamba ndiyo dini sahihi hatokubali Mwenyezi Mungu dini nyingine tofauti na hiyo. kaelezea dini nyingine na misingi yake na ubatili wake. uhakika wa Issa na Mama yake (s.a.w). Uislamu ni dini ya Ulimwengu mzima na hikma ya kuumbwa Majini na Binadamu.

Download

Vyanzo:

Chama cha kueneza uislam

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu