Nabii Muhammad (s.a.w) katika Taurati na Injil

Mwandishi :

Tafsiri:

Kurejea:

الناشر: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh

Maelezo

Anasema Mwenyezi Mungu Mkarim: (Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu,ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kuwabashiria kwa Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!). Aswaaf: (6)
na Nabii Muhammad (s.a.w), ndie Nabii pekee ambae katumwa baada ya Nabii Isa (s.a.w), na wala hawakiri wakristo ya kwamba yupo Nabii aliekuja baada ya Nabii Isa (s.a.w), na sisi kwa hili tunathibitisha ya kwamba Isa na Mussa (s.a.w), walimbashiri Nabii Muhammad (s.a.w), atakuja baada yao, na patakuwa vilevile dalili miongoni mwa dalili za kitabu kitakatifu kama kilivyo bainisha kitabu hiki kitukufu ambacho chafaa kuwa muongozo kwa kila Mkristo na Myahudi...

Download
Maoni yako muhimu kwetu