Njia ya kuelekea katika uislamu

Mwandishi :

Maelezo

Njia ya kuelekea katika uislamu: Kitabu hiki kinakuongoza katika uzima wa milele, kinakuongoza katika Imani ya kumjua Mola wako alie kuumba, na kinakuongoza katika itikadi sahihi inayo kubaliana na akili yako na maumbile yako,utajua kupitia kitabu hiki mwanzo wa kuumbwa binadamu na mwisho wake, na hikima ya kuwepo kwake, na mengineyo.
kitabu hiki kimeandaliwa kwaajili ya wasiokuwa waislamu, kwa maana hiyo utaona kipo kwa ufupi.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu